K_J Member Joined Jan 21, 2012 Posts 16 Reaction score 12 Aug 14, 2013 #1 Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!:help:
Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!:help:
F flyn ryder JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 656 Reaction score 86 Aug 14, 2013 #2 Katika net hayapo hayo..
man of steel JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,099 Reaction score 2,354 Aug 14, 2013 #3 nenda wizarani ukayachukue...
L Lilian mussa Member Joined Aug 11, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Aug 14, 2013 #4 nenda shule uliyosoma
K_J Member Joined Jan 21, 2012 Posts 16 Reaction score 12 Aug 15, 2013 Thread starter #5 Lilian mussa said: nenda shule uliyosoma Click to expand... Niko mbali na huko nilikosoma
K_J Member Joined Jan 21, 2012 Posts 16 Reaction score 12 Aug 15, 2013 Thread starter #6 flyn ryder said: Katika net hayapo hayo.. Click to expand... nimecheck sijapata kama unamsaada wa link pls!
flyn ryder said: Katika net hayapo hayo.. Click to expand... nimecheck sijapata kama unamsaada wa link pls!