Salih
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 642
- 420
Naomba msaada wa kujua gharama ya kuweka jino bandia maana nasikia kuna aina tofautitofauti na gharama tofauti, kikubwa jino langu limekatika juzi kulikuwa na ugomvi kidogo, lipo nusu tena la mbele juu so linaleta shoo mbaya nimekata shauri ya kuling'0a na kuweka ya bandia, au kama jinsi ya kulifanya lirudi ktk hali ya kawaida naomba mnijuze......Natanguliza Shukrani