Msaada please!!!!!

Msaada please!!!!!

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,194
Reaction score
7,602
mimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha dodoma,kutokana na kutomudu gharama za kujisomesha nimeamua kuahirisha mwaka huu wa masomo ili nitafte pesa nirud mwakan so pls naomben mnisaidie utaratibu hasa wa kutoa taarifa chuoni hasa kuhusiana na kusmamisha mwaka wangu wa masomo,na je lazma nifkee chuoni kutoa taarifa hiyo au naweza kutumia njia nyingne kufkisha ujumbe. Wadau nsaidien.
 
Bila shaka wewe ni zao la Mh. Mlugo. Kama ndivyo nakusaidia hivi; kama ndo unapaswa kwenda kuanza hupaswi kujiita wewe ni mwanafunzi mpaka utakapokuwa registered ( sajiliwa) na huwezi kusema hujaweza kumudu gharama za kujisomesha ili hali hujafika shule na hakuna gharama zozote ulizozitumia, sema umekosa mahitaji ya kujiunga Chuo.

Mtu wa aina hiyo, nilazima ufike chuo usajiliwe na utambuliwe kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo hicho. Hapo ndipo utaandika barua ya kuahirisha mwaka kupitia dean of students, kupitia head of dept ambapo degree inatolewa, kupitia dean wa faculty husika kwenda kwa DVC(academic)/VC ukieleza sabababu za kuahirisha mwaka. Kumbuka utasajiliwa na kutambuliwa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo baada ya kulipa gharama hitajika za chuo kama utakavyoambiwa ukiwa hapo chuoni.

Lakini kama wewe ni mwanafunzi wa mwaka wa pili/tatu katika chuo hicho, nakushauri uache chuo na si uahirishe maana wewe utakuwa ni janga la familia yenu. Kama utakuwa na lolote, karibu!
 
Back
Top Bottom