Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
mimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha dodoma,kutokana na kutomudu gharama za kujisomesha nimeamua kuahirisha mwaka huu wa masomo ili nitafte pesa nirud mwakan so pls naomben mnisaidie utaratibu hasa wa kutoa taarifa chuoni hasa kuhusiana na kusmamisha mwaka wangu wa masomo,na je lazma nifkee chuoni kutoa taarifa hiyo au naweza kutumia njia nyingne kufkisha ujumbe. Wadau nsaidien.
,kutokana na kutomudu gharama za kujisomesha nimea weka maelezo yako wazi. unaanza chuo au?
wadau ndo naingia mwaka wa pili.
uko mwaka wa pili afu hujui namna ya kupostpone pumbafu sana