Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau nina mtoto wa kiume ana miezi 9 sasa,lakini hataki kula!naomba wadau mnisaidie kama kuna dawa au chakula kitakachorudisha hamu ya kula
Lakini kwa umri wa mtoto maziwa ya mama ndo chakula kinachofaa sana kwake. Mtoto kama kaanza kutambaa anashika vitu vingi na pia anaweka vidole mdomoni mpime choo kuangalia minyoo then kama ipo mnunulie albendazole syrup anywe in divided doses kwa sababu hajafikisha miaka 2 ili aweze kunywa yote pia mnunulie syrup multivitamin inayoitwa nutravit anywe 5ml kila siku itamsaidia mtoto ila jitahidi apate maziwa ya mama kwa muda mrefu.
hua namlisha uji wa ulezi na mara chache uji wa dona