Msaada please!

Msaada please!

halati88

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
461
Reaction score
146
Habari wanajf?, wataalamu naomba mnisaidie mimi nina alergy na nyama ya n'gombe nikila napata mafua makali na kifua, nauliza hivi kuna dawa ya kutibu alergy au dawa ndio kuacha kula nyama milele? NAWAPENDA WOTE.
 
Hiyo inaitwa kambaku nenda kwa wamasai wanao uza dawa watakuopatia dawa ya kuitibu
 
Ndio najua ni kambaku na dawa za kienyeji natumia sana ila nikila inarudi sasa hapo ndio panaponichosha nadhani dawa ni kuacha moja kwa moja ila ni ngumu sana kwa sisi kayumba.
Hiyo inaitwa kambaku nenda kwa wamasai wanao uza dawa watakuopatia dawa ya kuitibu
 
Kama umeshatumia izo dawa haikusaidii basi acha kula nyama jamani
 
Back
Top Bottom