Habari wanajf?, wataalamu naomba mnisaidie mimi nina alergy na nyama ya n'gombe nikila napata mafua makali na kifua, nauliza hivi kuna dawa ya kutibu alergy au dawa ndio kuacha kula nyama milele? NAWAPENDA WOTE.
Ndio najua ni kambaku na dawa za kienyeji natumia sana ila nikila inarudi sasa hapo ndio panaponichosha nadhani dawa ni kuacha moja kwa moja ila ni ngumu sana kwa sisi kayumba.