Msaada please

Neutral catalyst

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
261
Reaction score
147
Wanajamii forum wenzangu.

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo fulani na ninachukua degree ya mawasiliano ya umma. ninaomba msaada wenu kuhusu topic zinazo relate na masuala ya mawasiliano ambazo ni rahisi katika kufanyia reseach. zisizokuwa na usumbufu katika literature review.

na pia nilitaka nifanye kuhusu jamii forum na topic yangu ilikuwa the role of jamiiforum in the 2015 election lakini naona kaama ntakwama kwenye literature review kwa mwenye iuelewa kuhusu haya masuala naombeni ushauri wenu.

Thank you in advance
 
kusoma unasoma wewe. cozi yk mwenyeo basi topic utafutiwe ya kufanya risachi. unashindwa kudungua topic gani uifanyie risachi . haya mie nakupa topic. wali maharage mtamu sana kuliko wali kunde
 
The role of E-marketing as perceived by local community A case of Dsm or mkoa wowote utakao upenda Mkuu
 
the role of e-marketing as perceived by local community a case of dsm or mkoa wowote utakao upenda mkuu

umesoma chuo gani mzee hiyo tittle mbona siyo researchable haina independent na depend variables yaani uko shalo sana mkuu nakushauri usiwe unakurupuka tulia kwanza siku nyingine utakuja kuumbuka!
 
umesoma chuo gani mzee hiyo tittle mbona siyo researchable haina independent na depend variables yaani uko shalo sana mkuu nakushauri usiwe unakurupuka tulia kwanza siku nyingine utakuja kuumbuka!
Pole wewe nduu unaye klemu kaiseeee tena pole sana.. the role of e-marketing ni independent tayri perception ya local community ni ependent tayr unataka nini hapo tena aiseee pole sana... hapo anaenda ku assess mchango wa e-marketing na jins gani jamii inavyo uchukulia daaaah pole ndugu wewe ndo ume kurupuka ena vibaya sana, jipange upya mzee ndo uje tena
 
umesoma chuo gani mzee hiyo tittle mbona siyo researchable haina independent na depend variables yaani uko shalo sana mkuu nakushauri usiwe unakurupuka tulia kwanza siku nyingine utakuja kuumbuka!
Kama unataka shule zaidi ya research njoo nikufundishe mzee pia punguza kukariri research nikuelewa.. independen i role ya e-marketing na dependent ni perception ya local community juu ya e-marketing... naomba unikosoe hapo mjuaji wa research....
 
umesoma chuo gani mzee hiyo tittle mbona siyo researchable haina independent na depend variables yaani uko shalo sana mkuu nakushauri usiwe unakurupuka tulia kwanza siku nyingine utakuja kuumbuka!

yaan makavu live bila chenga is that a problem or?????
 
yaan makavu live bila chenga is that a problem or?????
napenda sana kukosolewa yule ndugu aliye sema hiyo tittle haina independent wala dependents variables naomba aje jamani anikosoe nisha mwonyesha hapo independent ipi na dependent ipi....
Ndug pole sana mana hii ina onyesha jinsi gani ume kalili research na sio kuelewa...
NOTE: Mchango wa E-marketing katika hyo tittle upo... kitu kinacho fanya kuwe na problem ambayo atakwenda kuieleza katika statement of the problems ni perception ya local community juu ya role ya e-marketing katika jamii yao je wanauona mchango wa e-marketing au hawa uoni au wewe problems unajua mpaka uambiwe the role of internal training on promoting organization performance poleni sana msiwe mnatoa comment kama hamuelewi kitu mbona mara nyingi sisi huwa tuna tulia katika sekta sio zetu.
 
Naona walimu wangu wa research mme lianzisha arafu mme amua kuingia mitini unapo bishana katika maswala ya elimu unatakiwa uwe na na ushahidi mkononi sio una ongea porojo tuu pia mjitahidi sana kuji funza research mpo shallo vibaya sana nhc wote wawili myakuwa mmesoma chuo kimoja so mme kalilishwa nanyi mna ona mnajuwa tayari... dogo mtoa mada hongera sana kwa mada yako usichoke kuomba ushauri pale unapo kwama humu kuna watu mbali mbali wenye taaluma mbali mbali so wata weza kukusaidia pia kuna watu kama hao juu wanao jifanya wanajua lakini na mashaka na ujuaji wao.. hao wapo kwajili ya kukatisha tamaaa tuu so wasi kutishe cha muhmu jua nini unataka kukifanya... research ni rahisi sana kama uki ipenda na ukimpata mwalimu mzuri aliye tayari kuji tolea kukusimamia ili uelewe...
 
The role of E-marketing as perceived by local community A case of Dsm or mkoa wowote utakao upenda Mkuu

Nadhkuru mkuu kwa mchango wako nmeuchkua na ntaufnyia kazii. Na pis mkuu kma utakuwa na material zzte kuhusiana na e_msrketing nitashukuru
 
kusoma unasoma wewe. cozi yk mwenyeo basi topic utafutiwe ya kufanya risachi. unashindwa kudungua topic gani uifanyie risachi . haya mie nakupa topic. wali maharage mtamu sana kuliko wali kunde

Umkosa elimu darasa na dunia pia ukose ingekuwa busara ungpita kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…