Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kinaima upande gani na mda gani?
je hakuna maumivu sehemu nyingine tena kama kwenye mkono au mguu.
vipi ikikimbia?
kinaima upande gani na mda gani?
je hakuna maumivu sehemu nyingine tena kama kwenye mkono au mguu.
vipi ikikimbia?
Mkuu kifua na mguu wapi na wapi?..
hakun sehemu nyingne
ni upande gani mkuu.. na huuma sana wakati gani au ukifanya nini mkuu?
sijui nianzie wapi...ila kifupi kuna matatizo ya blood vessels kwenye moyo ambayo hufanya kifua kuuma au kubana, maumivu huja mpaka mgongoni na kwenye mkono au mguu wa kushoto au kulia sio yote kwa pamoja.

solution ni nini mkuu kwa kifupi
Duuh! ischemic pain ya myocardial iwe refered kwenye mguu!!?? HAPANA kitu kama hicho mkuu!
M.I pain huwa inakua refered kwenye mikono kama ulivyosema ( especially wakushoto ) , kwenye shingo au kwenye Taya!! ...hii ni kwasababu nerve roots ambazo zina supply kwenye hizo sehemu ndo hizo hizo ambazo nerve inayo supply kwenye heart inapo originate!!
Ndio maana twapata refered pain kwenye hizo sehemu kama mtu akiwa na ischemia kwenye moyo!!
Ila hakuna uhusiano na miguu kabisa coz nerve roots ni tofauti!
ok sawa mi nimeeleza ninavyojua tena kwa kifupi sana. Hakuna ulazima wa kubishana maana target yangu ni kumsaidia mleta mada.
by the way I'm not a professional doctor hata degree ya kwanza sijamaliza lakini si kwamba sijui ninachokisema.... I you are wise nadhani umeelewa.
Nikuelekezana mkuu!! Hatubishani, thats what we do in Medicine!...and am still a student too!!
Endelea kumsaidia mgonjwa! The rest you are right
asante sana kwa ushauri wakokama hutojali mkuu nenda hispital uwe specific kwenye maswali utakayoulizwa na dr. Kama ni huo upande mmoja tu basi usiache kuchekiwa matatizo ya moyo. Dokta atakupima BP then ataangalia kama kuna ulazima wa kupima ECHO au ECG ili kuangalia ufanisi wa moyo na mishipa yake.
pia kuna tatizo la mapafu PNEUMONIA usisahau kucheki kama hayo mengine uko sawa.
nimegusia tu kwenye moyo maana mtu unaweza kukaa na matatizo ya moyo miaka bila kugundua ... shida inakuja kujiyokeza ghafla tu na mtu unakuw katika hali mbaya.
NB; usije ukatumia hata dawa za asili kabla ya kupima.