Habari wanafamilia,
Kumekua Kukitokea Tatizo Ambalo Linasababishwaa Na Unyawaji Wa Haya Madawa Ya Antibiotics(nikimaanisha kitu kama Allergy)
Ambapo Mtumiaji Wa Antibiotics Anakua Anapata Reactions Sehemu Za SIRI. Kunatokea Muwasho Wa AJaaaabu Usioishaa Na Wakati Mwingine Hutokea Vipele Na Hua Inawakumba Saaana Wanawakee. Naombeni Upeo Wenu Katika Hili.:help::help::help: