msaada pleaseee

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
eti inasemekana kwa mwanamke mwenye mimba ya kwanza kuna uwezekano wa kujifungua mapema zaidi kabla ya tarehe anayoifikiria???? kabla ya wiki moja au mbili??? nijuzeni pleaseee na kama ndivyo sababu ni zipi??
 
jamani mmegoma au?
 
akina dada mko wapi jamani, njooni mumsaidie mwenzenu huku
 
Hilo swali ingekuwa vema ungezungumza na daktari wako wa clinic. Au experienced mamas at ur area
 
Stori za vijiweni hizo wengine wanazikuuuuuza hawajui tukikosaga vya kuongea tunaongea yoyote yanayosikilizika! Sio docta lakini tusubiri wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…