msaada pliiz

msaada pliiz

dito64

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
34
Reaction score
3
Wadau samahanin,mm nlifanya transfer ile ya tcu(3rd round)..nliapply bachelor of technology in horticulture-St Joseph College Of Agricultural Sciences and Technology,Songea..kwa mwenye updates naomba anijuze kama wameshatoa majibu ayo au vip??na naangalia wap majina kama wametoa?
 
Kama vile transfer na third round application ni vitu viwili tofauti.Transfer ni ile mtu aliye kuwa admitted tayari kwenye chuo fulani anahama kwenda chuo kingine kwa sababu fulani.Third roud application ni wale ambao hawakuwa admitted in the first two rounds...We upo wapi hasa,tufahamu vema!
 
Ooh k kk..mm nlikuwa admitted udom..then nikatuma transfer ya kwenda huko..
 
Back
Top Bottom