Kama vile transfer na third round application ni vitu viwili tofauti.Transfer ni ile mtu aliye kuwa admitted tayari kwenye chuo fulani anahama kwenda chuo kingine kwa sababu fulani.Third roud application ni wale ambao hawakuwa admitted in the first two rounds...We upo wapi hasa,tufahamu vema!
Bado hawajatoa majina hata kwenye web yao hawataweka wiki inayokuja