Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha 6 nchini uganda,baada ya kuequite matokeo yake baraza la mitihani equivalent kwa Advanced certificate ya Tanzania ana division two point 11,tatizo matokeo yake ya kidato cha nne ana division four,principle pass 2,vipindi vingine ni D,je anaweza kujiunga diploma bila vikwazo?make aliapply degree ila credit moja ya form for ikawa kikwazo.