D Deborita Member Joined Sep 10, 2013 Posts 37 Reaction score 11 Apr 8, 2014 #1 Jaman wadau naomba kujuzwa juu hili tatizo kwa watoto,mwanangu ana mwaka sasa lakini utosi wake bado haujafunga na mara nyng panavodunda sn analia sana,sasa cjajua kama hii kitu ni kawaida au ni tatizo!naombeni msaada wenu ndugu zangu
Jaman wadau naomba kujuzwa juu hili tatizo kwa watoto,mwanangu ana mwaka sasa lakini utosi wake bado haujafunga na mara nyng panavodunda sn analia sana,sasa cjajua kama hii kitu ni kawaida au ni tatizo!naombeni msaada wenu ndugu zangu
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Apr 8, 2014 #2 madaktar mnahitajika hapa kuna tatizo