CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ngoja waje watalaamu watakuhabarisha kila kitu
Kutotolesha anaweza kutumia hata mayai ya kienyeji au ya Malawi. Nilivyomuelewa anataka mayai yenye kiini ambayo anaweza kutotolesha na kupata vifaranga wa mayai (layers) au/ na wa nyama (broilers). Anayejua amwage details tutafaidika wengi.Nini kilikusukuma au kukushawishi hadi ukanunua incubator wakati hata hujui mayai ya kutotoresha utayapata wapi?
Kutotolesha anaweza kutumia hata mayai ya kienyeji au ya Malawi. Nilivyomuelewa anataka mayai yenye kiini ambayo anaweza kutotolesha na kupata vifaranga wa mayai (layers) au/ na wa nyama (broilers). Anayejua amwage details tutafaidika wengi.
Mkuu ukipata details tujuzeMkuu mimi mwenyewe nilikuwa na watafuta hawa Parents, Ila kwa maelezo ya watu ni kwamba zinatoka Nje ya Nchi, South Africa, Ujerumani, Uhoranzi, Uturuki na kwingineko, na Sijajua kwa nini Serikali hairuhusu Mayai kuingizwa, ni Mpaka Vifaranga,
Kuhusu Kampuni za Tanzania Kama Interchick, Kibo, Tanzania Poltry Farm na zinginezo wanao ila hawauzi na hakuna kampuni iliyo tiyali kuuza Parents kwa sababu watakosa soko la Vifaranga wao,
Ila nilijaribu kufutailia Kenya Kuna Kampuni Moja ambayo ni agent wa Kampuni kubwa ya Kuku kutoka Ujerumani wao wanazalisha Parents wa Mayai na Nyama na ndo sehemu pekee East Africa unaweza pata Vifaranga Parents, so najaribu kuwasiliana nao kuhusu mauzo yao yako vipi
Mkuu ukipata details tujuze
Mkuu nina concern kama yako; vipi ulifanikiwa kupata chochote huu ya hili? Plse!!Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa na watafuta hawa Parents, Ila kwa maelezo ya watu ni kwamba zinatoka Nje ya Nchi, South Africa, Ujerumani, Uhoranzi, Uturuki na kwingineko, na Sijajua kwa nini Serikali hairuhusu Mayai kuingizwa, ni Mpaka Vifaranga,