Are like what???why BOYS are like this?
why BOYS are like this?
why BOYS are like this?
8 years jamaa anakuja kumpotezea mdogo wako muda, mwambie atulie tu kwanza.Wako pamoja tangu 2002 mpaka leo, hajawahi kuwa na mwanume mwingine zaidi ya huyo, kwa ufupi hamjui mwanaume mwingine zaidi ya huyo mchumba wake. tangu mdogo ameumia sana
Are like what???
Aiseee bora amuache...inaonekana jamaa anatafuta mzaaji tu na sio mapenzi haswa!!Atafute bahati yake pengine maana hapo ikitokea akakubali kuolewa nae alafu asipate bahati ya kuzaa atanyanyasika sana bila kusahau masimango!!!Mimi nimemshauri aachane naye, maana jamaa tangu jana hajasema chochote na kwenye simu hapatikani, sasa mdogo wanguananiuliza nimsrudishie vitu vyake eg. engagement ring nk maana ni ujinga kuvaa engegement mtu ana mwanamke tayari , halafu wala hajuti, huyo dada alikuwa anakaa arusha akamuhamishia dar, ili awe karibu na mtoto wake kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari. ndo mtoto wake wa kwanza, mdogo wangu alikuwa na matatizo ya tumbo la uzazi ila alishatibiwa kwa hiyo aliwahi kubeba mimba mbili zikatoka, nadhani jamaa akaamua kujaribu kwingine
Mwambie aache kulia banaa wanaume wapo wengi sana ya nini kumlilia mwanaume who's not worth it.amelia kuanzia jana saa 10 jioni mpaka saa 11 asubuhi, nalala, naamka namkuta analia nimetoka kwenda kazini hajalala, na mchana huu napiga simu analia tu BP imeshuka
like huyu mme mtarajiwa with a wife+child kisirisiri.Are like what???
Hapo mimi simo ng'oMnajua kutuumiza sana
8 years jamaa anakuja kumpotezea mdogo wako muda, mwambie atulie tu kwanza.
Mwambie aache kulia banaa wanaume wapo wengi sana ya nini kumlilia mwanaume who's not worth it.
Huyo ni a BOY not a MEN.like huyu mme mtarajiwa with a wife+child kisirisiri.