Msaada pls...

Msaada pls...

Joined
Nov 14, 2011
Posts
36
Reaction score
1
Jaman wanajamv naomba kuulza et mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata maana kuna watu wanadai et anaweza kupoteza nguvu za kiume au zikapungua?
 
Back
Top Bottom