Most of successful b'ness people started small, na average walianza kama na 17 ideas ambazo hazikulipa au zilifail, hawaku give up bali wali badili product/ service wanayotoa au pia wali change stategy.
1. start small hiyo laki tano ni enough kwa kuanzia
2.huitaji idea/ product mpya bali unahitaji idea/ product iliyo better
3.do your home work: study every detail of the b'ness, usiingie kichwa kichwa; make informed decisions
4.tengeneza team yenye watu wenye honest na wako tayari ku work hard ktk kipindi cha growth(ukikomaa mwenyewe hiyo ni ajira, sio real b'ness)
5.what is your mission ktk iyo b'ness
6.unajua lolote kuhusu financial education(assets/liability, profit/loss,cashflow/net income, bness expenses/personal expenses. usipojua utakula mtaji then useme umerogwa na jirani. 90% ya bnesses hufa kwa kuwa wamiliki hawajui haya.
7.ongea na wafanya biashara mbalimbali ujue idea zao; tafuta mentor( mtu aliyefanikiwa ktk unalotaka kufanya; unahitaji kocha)
8.Dont be afraid to fail, failure is another way to interlligently begin again( learn from the mistakes,correct and bounce back). THE RICH PEOPLE DONT WORK FOR MONEY. HAKUNA TAJIRI HATA MMOJA DUNIANI ALIYE AJIRIWA. MONEY WORKS FOR THEM. THAT'S WHY THE RICH GET RICHER, POOR AND MIDDLE CLASS STAYS IN DEBT ALL THEIR LIFE.