Msaada plz:je upo uwezekano wa kushika mimba hapo?

Msaada plz:je upo uwezekano wa kushika mimba hapo?

Marsy

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
47
Reaction score
7
Wadau kuna uwezekano wa kupata mimba katika mazingira ambayo ni miez 2 tangu kujifungua ila mtoto haikuwa riziki,tangu hapo huoni cku kabisa.Je ni kawaida hilo kutokea?Na baada ya hiloni kipind gani kizuri kushika mimba tena?Ushauri ktk hilo.
 
Back
Top Bottom