Msaada plz juu ya linex

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
352
Wanandg niaje ninaomba msaada plz. Nina2mia UBUNTU ila mara ya kwanza nilikuwa nina2mia Ubuntu (versen 9.4) ila ilikuwa hainipi chance ya ku2mia modem. Nikitaka ku2mia modem inanipa sehemu ya kuingiza code ili niruhusu modem. Ila mwenzangu akaja na Ubuntu lakn (versen 10.4) inaruhusu ku2mia modem lakn mm pia baada ya kuchukuwa alafu nikaweka ikakataa na inanipa meseji inasema (not support) . Na laptop ninayo2mia ni sawa na yamshkaj yan zote ni TOSHIBA ila yangu inakataa so msaada plz
 

...Maswali kwanza kabla hujasaidiwa. Modem yako na yake zinafanana? kwa brand, model, na specs? Je, hizo modem zenu ni za provider mmoja? kama sio mmoja, wewe yako ni provider gani?

...Kama asilimia tisini ya majibu ni ndio, muulize mshikaji huwa anafanyaje yake inaweza. Kama ni chini ya asilimia hamsini toa specs za modem na provider wako, msaada wa kiufundi upatikane.
 

cjakuelewa juu ya specs za modem na provider so far wote 2na2mia modem za Airtel ninafikir hapa provider we2 atakuwa moja ila specs za modem nazo ninafikir ni sawa au kunatofaut pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…