pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Niaje wadau jana nilipigiwa cm na organisation moja inayohusika na maswala ya ajira nikafanye interview ya customer care kwa yeyote mwenye uzoefu na hii sekta plz help me on the posbo questions plz
Kama umeweza kupost JF basi unaweza kabisa kutumia google.....
www.googe.come! wacha usumbufu wa kijinga
swali lako pia halijakaa vizuri "uzoefu wa hiyo sekta" kwa maana gani?????? Unataka kujua salaries, au ofisini huwa wanaingia mida gani au nini hasa? Au ingia Google ukikosa huko nenda www.ask.com
Salary 4 the graduates