Mimi ni mwl. wa shahada natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi.nimepangiwa moshi wilaya ya siha natafuta mtu wa kubadilishana aliyepangiwa mikoa ya morogoro,iringa,dodoma na anataka kwenda moshi.nitashukuru kwa ushirikiano wenu wadau.with thanks.