Msaada plz

willb3636

New Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana Jf,
Naomba nielezee tu kwa ufupi nilifanyiwa operation nilikuwa nina tatizo la disk ku collapse ambalo lilipelekea mishipa ya damu kushuka chini miguuni kubanwa nikashindwa kabisa kutembea na kupata maumivu makali sana na miguu ilivimba sana.
Pia choo ilikuwa ni tabu kutoka hata kukojoa ilikuwa hadi nijikamue kwa nguvu sana sasa baada ya operation maumivu yaliisha kabisa ikabaki ganzi miguuni na eneo lote la matakoni na mbele tatizo kubwa linalonisumbua uume kutosimama na ninapoenda haja kubwa ninapata tabu maana misuli haina nguvu kabisa ya kusukuma choo.
Niliandikiwa dawa zifuatazo
Nat B baadae nikabadilishiwa nikapewa Ginsomin lakn bado hamna mabadiliko yoyote.
Plz msaada ktk hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…