D david shayo Member Joined Nov 21, 2011 Posts 21 Reaction score 5 Dec 11, 2011 #1 Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,386 Dec 12, 2011 #2 Kwa maelezo zaidi kuhusu uzazi wa mpango soma uzi huu in wich side effect za njia mbali mbali zilizungumziwa. Ningeshahuri wakamuone tena daktari.
Kwa maelezo zaidi kuhusu uzazi wa mpango soma uzi huu in wich side effect za njia mbali mbali zilizungumziwa. Ningeshahuri wakamuone tena daktari.