Salam wandugu naomba msaada plz rafiki yangu yamemkuta mkewe anatumia uzazi wa mpango{njiti} sasa anadai mkewe hana hisia tena yani hata azame chumvun hapati hisia vp mwamshauri nn?kwamba ukitumia uzazi wa mpango mwanamke hupoteza hisia?
mi ndo maana nsha mkataza wife kuyatumia......."WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...." mungu alitupa akili akatupa na siku 14 za kufanya free bila kupata mimba ndani ya mwezi kwa nn tutumie majitu ambayo hayana maana?