Msaada plz..

NeyB

Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
24
Reaction score
5
Naomba nsaidiwe ktk hili,binafsi yng halijawah kunikuta since nianze kuomba kazi na kufanya baadhi ya tempo jobs..ni hivi: Recently kuna kazi ya research assistant ktk NGO moja hapa dsm which is US funded:nimeapply jana,leo nimepata email ya job description,muda wa project yote,payments na kila kitu...Sasa ambacho kimenshangaza,maybe me nmeshtuka na kushangaa sab sijawah kukutana nacho, labda wenzangu mnaweza kunsaidia: "Nmeambiwa kuna training ya siku saba, hafu kuna malipo ya training each day, ila We are required to pay 10,000 kwanza ktk M-PESA ya huyo Director kaweka Namba yake ya M-PPESA, tunalipa kwanza ndo tunaenda kuhudhuria training kwa ajili ya kazi. Binafsi yng kwa uzoefu wanguuuu woooteee cjwah kuambiwa nichangie chochote nkiapply kazi nasubir kuitwa,naanza training, nafanya kazi, nachukua changu basi..habari ya kulipia training ndo nianze kazi cjawah kukutana nayo...Maybe wenzangu mnaweza kunsaidia...
 
utapeli dot com huo na itabidi umuulize hiyo 10K ni refunded or not maana huo ni wizi wakweupe pe taja kabisa ni ngo ipi maana kuna sehemu mbili za assistant research..
 
Ukisikia paaaaa ujue imekukosa.................!!kimbia fasta kabla hujatapeliwa msimbazi lol
 
ukisubiri kuona manyoya shauri yako,hiyo inatosha kukufanya ukimbie mbaya.:thinking:
 
Hahaaa! umeapply jana, leo umetumiwa terms fo engagement. shiiiiiiit, kimbiaaaa
 
sijui nisemeje, hapa kuna wizi, kama vipi nenda ofisini kwao.................
 
kimbia ndg huo ni utapeli wa waziwazi tena km vp weka na jina la kampuni kbs.
 
Matapeli hao kaka achana nao mtaenda kweli mtapigishwa training ya hizo siku 7 halafu,watawaambia acheni namba zenu za simu mtaitwa,utasubiri hiyo simu paka kesho ndy umeshaliwa hivyo.Kuna kijana hapa ameliwa hivyo amemaliza chuo mwaka huu hata cheti hana anajifanya amepanic eti anataka kazi za harakaharaka ndy yakamkuta hayo amepigwa tsh.60000 hadi sasa hivi miezi 2 imepita anasubiri simu kuitwa kwenye kazi!...
 
wewe tayar ushanusurika, coz umekuwa mjanja akaja hapa. wenzie weahaliwa hapo ujue!!!

hebu tutajio hiyo NGO ili tuitambue km ya kitapeli rasmi
 
Hi kwa wote, mi ni mgeni katika safu hii but hilo jambo limewahi nikuta kuna watu wanaitwa brac walinipigia simu wakaniambia niwatumie pesa kwenye M-pesa ndo napata kazi niliwatumia lakini kiukweli ni wezi tu hawana lolote hao kuwa makini
 

.....muliiiiiikaaa mwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!!!
 
Nimewashtukia mwenzangu...akhuuuu
 
NeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeY B, huo wizi wa mchana kabisa achana naye.:glasses-nerdy:
 
Hi kwa wote, mi ni mgeni katika safu hii but hilo jambo limewahi nikuta kuna watu wanaitwa brac walinipigia simu wakaniambia niwatumie pesa kwenye M-pesa ndo napata kazi niliwatumia lakini kiukweli ni wezi tu hawana lolote hao kuwa makini

Kuna mdau mwingine alishawahi kulalamika hapa kuwa Brac ni wezi akapingwa kwa nguvu zote na mfanyakazi wa brac ambaye ni member huku jf Anna pita
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…