msaada plz......

msaada plz......

Punguza kula vya mafuta, mazoezi ni muhimu pia, jitahidi kujishughulisha. Unataka kwend sehemu kam si mbali sana piga mguu
 
fanya mazoezi ya tumbo kila siku,kula kiasi,epuka kutumia sukari nyingi,vyakula vya mafuta kama chipsi,vitumbua,badala yake,piga ugali ,ndizi, kunywa maji kwa wingi,matunda kwa wingi,juisi ya limao a.k.a lemonade inafaa zaidi asubuh+jioni,unaweza kuiandaa mwenyewe,
chukua glasi, kata limao moja kamua juice ndani ya glass,ongeza maji salama ya kunywa,na sukari kidogo.muda si mrefu kitayeyuka chote.
 
Back
Top Bottom