fanya mazoezi ya tumbo kila siku,kula kiasi,epuka kutumia sukari nyingi,vyakula vya mafuta kama chipsi,vitumbua,badala yake,piga ugali ,ndizi, kunywa maji kwa wingi,matunda kwa wingi,juisi ya limao a.k.a lemonade inafaa zaidi asubuh+jioni,unaweza kuiandaa mwenyewe,
chukua glasi, kata limao moja kamua juice ndani ya glass,ongeza maji salama ya kunywa,na sukari kidogo.muda si mrefu kitayeyuka chote.