Ndo cjajua n nn nikiepuke then nilickha kuna hosp zina vipimo vya kuonesha yapaswa kuepuka nn,yng nahc n ya chakula kinachonsumbua zaid n hv vipele vidogo vinavyontoka kwny ngozi.hakuna dawa ya allergy zaidi zaidi ni za kutuliza maumivu. cha msingi ni kuepuka vitu vinavyokusababishia allergy. kama ni chakula inaweza kuwa mafuta
hospitali hamna kipimo kinachoweza kukuambia uepuke vyakula gani ila kuna kipimo kinaweza kukuonyesha kama unaweza kama una protini zinazoweza kukuletea allergy au la. kapime kipimo hicho ili ujue kama ni allergy au kuna mambo mengine. lakini kwa ngozi angalia zaidi sabuni unazitumia japo chakula nacho inaweza kuwa sababu.Ndo cjajua n nn nikiepuke then nilickha kuna hosp zina vipimo vya kuonesha yapaswa kuepuka nn,yng nahc n ya chakula kinachonsumbua zaid n hv vipele vidogo vinavyontoka kwny ngozi.
asante,ipn wp hii hosp mie naish dar.Peramiho mwone Dr mdede
Hamna pilipili situmii sn,mie cjajielewa bado kw maana ht nikivaa saa,chen,mkanda chuma zake zikinigusa tu nawashwa sn na kutokwa na vipele hvyo,so ingawa nimeviepuka vi2 hvyo kw kpnd now stl naona bado vipele vinantoka hvyo naona bado cjajua n k2 gn nikiepuke tena ambachn nahc n chakula cjajua n nn!.Unakula Pilipili sana? Maana unamatatizo kama yangu kaka ila mimi nilikuja kupima Aghakan nikaambiwa ni pilipili na majani mabichi ya ukwaju nisitafune na nilikuwa nayatafuna vibaya sana majani ya kwaju ila tangu nimeaacha tu sijapatwa na hiyo hali tena kaka try it.
asante sn mkuu.Pole sana sana mafuta ya kupikia hua yanasababisha mzio...vuta subra utasaidika