msaada plz

Nyukibaby

Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
77
Reaction score
12
habar..wana jf? Najitokeza kwenu kuomba msaada nina mpenzi wangu anasumbuliwa na tatizo la kuvurugika kwa siku za kupata hedhi....je nn tiba yake na madhala yake...asante!!
 
habar..wana jf? Najitokeza kwenu kuomba msaada nina mpenzi wangu anasumbuliwa na tatizo la kuvurugika kwa siku za kupata hedhi....je nn tiba yake na madhala yake...asante!!
Anatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?hali hio alikuwa nayo tangu mwanzo au imeanza ghafla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…