Msaada plz...!!!

Msaada plz...!!!

nadnan sab

Senior Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
104
Reaction score
17
Khabari za saa hizi wanajamvi!

Kwanza shukran zangu za dhati kwa huduma na Ushauri tunazopata humu ndani kwa Kweli ni zenye faida chungu nzima kwa jamiii

Naomba Msaada plz niko na siku 3 kufikia leo naumwa na m*p*mbu ajabu na yamefura Kiasi kama kipira cha tenis nikitembea nahisi kuwa mazito je nitumie dawa gani iniondokee hii shida?
 
Back
Top Bottom