Msaada plz..

Msaada plz..

kitaz

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Jaman jana kuna ndgu yangu ana miaka 21 kwa mara ya kwanza kazirai na kinachonshangaza alitoa povu kdg mdomon et hcho n kifafa?na alikua hajawah kuzirai tangu azaliwe..msaada kwa anayehamu please.
 
...mpeleke hospitali kwanza akapimwe...
 
Back
Top Bottom