Hakuna ppt expert humu ndani?
QM, kuna link hii HAPA nadhani inamelezo ya kutosha. Scroll hadi katikati kwenye "Order of animation effects". Naomba ujaribu kucheck kama itakusaidia..
Sijakupata vizuri unahitaji nini,naomba unitumie maelezo yako ya kile unachohitaji.
it is very simple kabisa.
mimi kwa sasa computer yangu ninmeihamishia office 2007. nimeshakuwanikitengeneza powerpoint presentation na kuzitumia kwenye seminar and so. nimejaribu hata sasa kuifungua na kuangalia kama layman nimeona bado pia iko vry user friendlier. leo niko busy sana ila kama bado utahitaji msaada hasa kama na wewe uko kwwenye office 2007. nijulishe. ikiwa uko kwenye 2003. itabidi nitafute computer za zamani nikusaidie.just pm me. pia hata access ukitaka kufundishwa how to design. do not hesitate.