Natumai mko poa waugwana binafisi nashidwa kujua nimuda gani mama mjamzto anashauliwa kuacha kushiliki tendo la ndoa na kama ataendelea nimadhala gani yanaweza kutokea kwa mama au kwa mtoto.
Tendo la ndoa halina madhara yeyote kwa mja mzito katika umri wowote wa mimba. Tahadhari ni kwa wenye matatizo ya afya kama kutokwa na damu au kutokwa na maji yanayomzunguka mtoto tumboni(liquor amnii). Tahadhari nyingine ni ukubwa wa tumbo,inabidi kutafuta style ya kushiriki tendo kupunguza maumivu tumboni mwa mama.
Kwani ukivumilia mkuu mpaka mkeo ajifungue utakosa nini au shemeji mwenyewe ndio anataka muendelee?Vumilia miezi 9 akishajifungua weka miezi 6 ya kunyonyesha then muanze hayo machejo yenu!