M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,913 Reaction score 4,695 Jun 1, 2026 #1 Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa
Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,546 Reaction score 4,486 Jun 1, 2026 #2 malembeka18 said: Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa Click to expand... Ngoja wataalam waje mkuu
malembeka18 said: Habari wakuu niwiki Sasa presha yangu Iko juu nimekuja kwenu kutaka muongozo namba Gani naweza kushusha hii presha nisitumie dawa Click to expand... Ngoja wataalam waje mkuu
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,554 Jun 6, 2026 #3 Hiyo mbona ni kama stage 2. Nenda kwa wataalam wa moyo uapate vipimo kama unahitaji kubadilisha mtindo wako wa maisha au uanze kutumia dawa.
Hiyo mbona ni kama stage 2. Nenda kwa wataalam wa moyo uapate vipimo kama unahitaji kubadilisha mtindo wako wa maisha au uanze kutumia dawa.