Wakuu mimi na mdau mwenzangu wa mambo ya mifugo tuna wazo la biashara ambalo limeshafanyiwa yale yote yanayohitajika ikiwa ni pamoja na vibali kutoka taasisi husika. Kinachokwamisha utekelezaji ni mtaji tu. Tunatafuta mdau aliye tayari ku-inject cash ili tuweze ku-take off. Karibuni.
Tupe kidogo summary ,what is your project is all about.
Its about production of UREA MOLASSES MULTINUTRIENT BLOCKS. Fissibility study ishafanyika. Hii kitu itaongeza nutrient muhimu kwa ngombe hivyo kuongeza production. Mkuu kwa sasa naandika kwa kutumia mchina. Nikiw kwenye pc nitakupeni zaidi. Lakini imeshakuwa approved na idara husika ikiwemo wizara.