Msaada Pumu ya ngozi (Eczema dermatitis)

Kama uko kanda ya ziwa nipm nikuelekeze kwa mtaalam. Mwanangu aliangaika sana na magonjwa ya ngozi huyo dr alinisaidia na sasa ni historia
We mpe jina la huyo mtaalam.
Mara nyingi twasafiri umbali mrefu, hata kwenda ng'ambo kutafuta tiba tu.
 
Mimi nina pumu ya kubana tangu 2003 sijawah kubanwa 2010 ikaanza hii ya ngozi nlihangaika miaka miwil nikatibiwa kinondoni dispensary 2012 jaman mwaka huu imeanza tena hapa sitazamik naogea madetto sijui manini ikiisha asubuh inaanza leo ndo balaa nimeamka mkono na uso na shingo havifai
 
Mimi nilipimwa hivi hivi allergy zilikua nyingi, zingine haziepukiki lakini nimekaa 3yrs yani sijapata muwasho wa hivi, mwenzi wa tisa nikaanza kubanwa nimechoma masindano mara hii miwasho imerudi tena
 
sawa sawa mkuu ntakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…