Msaada: Puty gani nzuri kwa ajili ya ukuta

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Aina gani au kampuni gani ya puty kwaajili ya ukuta,nimeona makampuni mengi ikiwemo jk wall puty ila yanabanduka haraka na rangi yake.

Je, naweza kupata puty nzuri ambayo ni ya kuaminika lakini pia naweza kujua bei yake na warranty ya kudumu kwenye ukuta?[emoji1666]
 
1.) Magic Builder, Best quality in Tz so far.

2.) Kubanduka sio swala la ubora wa Putty pekee. Huchangiwa hasa na maji ya mvua au yale ya chem chem toka ardhini.

Ufumbuzi ni kutumia DPM (Damp proof membrane) kabla ya kozi ya kwanza ya kusimamisha.

Pia kuweka ‘roof eave’ kubwa, hata 800mm ikiwawezakana ili kuulinda ukuta na maji ya mvua.

Kama umetumia ‘hidden roof system’, Weka ‘sill cap’ kubwa ili maji yasichuruzikie ukutani, pia juu ya ‘Sill cap’ weka ‘DPM’ pia.

Kuhusu kubanduka kwa rangi, tumia rangi ya ‘Weather guard’ kama unapaka nje. Inakinga dhidi ya fungus, maana imechanganywa na dawa.
 
zile kuta zenye mistari mistari hivi rough rough.. huwa zinatengenezwaje? Wanatumia putty nao au profuct tofauti?
 
zile kuta zenye mistari mistari hivi rough rough.. huwa zinatengenezwaje? Wanatumia putty nao au profuct tofauti?
Ni aina ya rangi yenye chenga chemga za changarawe. Wanaita ‘Conmix’ kama sikosei. Inapakwa kwa kuskim kama putty.
 
Magic Builder nadhani ni jina la Mzalishaji (manufacturer), product ni White Skimming Wall Putty
 
Tumia hiyo White Skimming Wall Putty,
Bei yake ni kama 19,000/- maeneo machache, ila wengi 20,000/- Kwa mfuko wa 20kg.

Kubanduka labda fungus au unyevu wa ukutani.
 
Ni aina ya rangi yenye chenga chemga za changarawe. Wanaita ‘Conmix’ kama sikosei. Inapakwa kwa kuskim kama putty.
Hapana,
Chenga chenga ni "Drewa"


Anayoulizia braza pale ni kweli ni "Conmix". Inakaa hivi
 
Sababu Materials ni yako, ukuta au nyumba ni yako na fundi unamlipa wewe basi ukiamua kumwambia apake ndani hakuna wa kukuzuia.

Ila ki ukweli hii Iko designed Kwa ajili ya nje tu.
Kuna jamaa nilishangaa amepaka ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…