Msaada qualifications za kujiunga form 5 this year

Msaada qualifications za kujiunga form 5 this year

Mstaarabu wa ukwee

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
209
Reaction score
137
Wanajamvi Msaada kwa yeyote anayejua qualification za kujiunga na kidato cha tano kwa matokeo ya BRN,Mara ya kwanza ilikuwa C tatu tu,sasa C imeshuka thamani,madogo wanaingiaje?
 
C useme ni wewe hapo, c tatu kama kawaida
 
Ndio za mwaka huu? Au zatoka kitambo? Nahitaji za BRN


Sema unahitaji kujua sifa za kujiunga na K5' wala usiingize utani kwa kuweka sifa za BRN, kwa kuwa hizo hazipo. Sifa kujiunga na K5 kwa watahiniwa wa shule (gov na Private) ni Kama ifuatavyo:

1. Awe amepata daraja la siyo chini ya Credit (awali lilijulikana Kama Div.III),
2. Awe anaufaulu wa angalau masomo 3 kwa credit Pass, yaani A, B+, B na C, na

3. Awe amefaulu masomo yake ya tahasusi (combination) anayotaka kwenda kusoma, ufaulu usiopungua D kwenye masomo yote.
 
Usiwe mjinga
Fuatilia comments za nyuma usikurupuke,afu umechangia nn sasa,
Acha uboya kwenye mambo ya serious
 
duh yan hata mwenye bio B chem C phys D anaweza kwend govt kwa PCB kwa kisingizio et ufaulu kweny combi uczid alama D?
 
Back
Top Bottom