Msaada: Quantam magnetic resonance analyizer

mwandishe

Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
33
Reaction score
15
Wana Jf. Naomba mwenye idea ya wapi hizi mashine zinapatikana kwa bei nzuri kwa hapa Tanzania, plz tuwasiliane haraka hapahapa au kwa PM au kwa +260973050218. Msaada wenu tafadhari.
 
Wazo: mkuu ungeeleza labda matumizi ya kifaa hicho, inawezekana watu wakawa wanajua kwa majina mengine, ikawa rahisi kwa wewe kupata msaada zaidi...
 
nadhan ni ile computer inayotumiwa madactar wa tiba asilia
 
Wazo: mkuu ungeeleza labda matumizi ya kifaa hicho, inawezekana watu wakawa wanajua kwa majina mengine, ikawa rahisi kwa wewe kupata msaada zaidi...

Ni zile machine fake ambazo wanaojiita madaktari wanaotibu kwa njia za vyakula matunda n.k wanazitumia kuibia watu hela.
 
Wana Jf. Naomba mwenye idea ya wapi hizi mashine zinapatikana kwa bei nzuri kwa hapa Tanzania, plz tuwasiliane haraka hapahapa au kwa PM au kwa +260973050218. Msaada wenu tafadhari.

1.2M kama uko serious ndani ya siku tano nakuletea mpaka mlangoni kwako. Latest edition, more results kwenye report.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…