Msaada: Rafiki yangu anaumwa ugonjwa usiojulikana

UPDATES JAMAA AMESHAPONA, baada ya kutseka Miaka 9 ana miezi minne toka apone yupo poa na ameanza First year mwaka huu TUmaini university IRINGA.
 
UPDATES JAMAA AMESHAPONA, baada ya kutseka Miaka 9 ana miezi minne toka apone yupo poa na ameanza First year mwaka huu TUmaini university IRINGA.

Inasikitisha sana. Wanasema kila jambo hutokea kwasababu, who knows
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…