Msaada: ramani ya chumba choo na jiko la kupikia...

John kirua

Senior Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
140
Reaction score
107
Habari ndg zangu naomba msaada wa kupata ramani ya chumba 1 choo na sehemu ya jikoni tafadhali
 
0342c2a475032afbade655d676ebac4e.jpg

Kula chuma hicho mkuu, dimensions za ndani fundi anakukadilia tu.
 
View attachment 3080827
Kula chuma hicho mkuu, dimensions za ndani fundi anakukadilia tu.
Ramani nzuri mkuu ila wakija wageni hapo watalazimika waingie chumbani ndipo waende chooni.
Haijakaa poa hiyo.
Pia hiyo ramani ina sitting room jamaa hajasema kama anaihitaji.
Unless aipunguze ibaki chumba choo na hiyo sitting room ataimodify itoke na jiko hapo hapo.
 
Yah anafanya tu adjustment hapo anbadili mwelekeo wa mlango wa choo, Halafu huwezi weka choo na jiko ndani af usiweke sitting room utakaa wapi.
 
Back
Top Bottom