Msaada: Rasimu ya Katiba kutoka Taasisi mbalimbali

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
Asalam alaykum wanajukwaa

Katika kipindi hiki ambapo tunaelekea uundwaji wa Katiba mpya, Taasisi mbalimbali ikiwa ni vyama vya siasa, Jumuiya za kidini, makundi maslahi (interest Groups) na makundi shinikizo (Pressure Groups) yameandaa rasimu zao za katiba tayari kuwasilisha kwa Tume ya Jaji Warioba na pia tayari kwa kuwaelekeza wafuasi wao na wananchi kwa ujumla.

Mfano, katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika Karatu hivi majuzi Mhe Marando alionekena akiwa ameshika rasimu iliyoandaliwa na CCM na mkono mwingine akiwa na Rasimu iliyoandaliwa na CHADEMA.

Baada ya kusema haya, kwa heshima na taadhima ninaomba yeyote mwenye rasimu ya katiba iliyoandaliwa na Taasisi yoyote ile atuwekee hapa jamvini ili tupate kuipitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…