Msaada Redio ya gari

Msaada Redio ya gari

mtzedi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
5,983
Reaction score
6,171
Habari za Muda huu
Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
 
Niliambiwa kuna wabongo wanafunga kifaa kinafungwa na ku extend hizo frequecy za FM mpaka 108 MHZ. Watakujibu
 
Vipo vile vi FM transmitter wanauza 10,00 ila vinasumbuaga ukifika sehemu ingine inaingiliana na channel ingine
 
Back
Top Bottom