AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Simple way ni kununua Software then kwenye charges ya kila tatizo unaongeza na bei kidogo ya Software.Msaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao.
Zote hizi ni freeAnydesk $120 kwa mwaka
Pricing for Remote Desktop | AnyDesk
Discover competitive remote desktop pricing with AnyDesk and choose the package that best meets your professional demands and budget!anydesk.com
Teamviewer $288 kwa mwaka
Buy TeamViewer - Prices & License Overview
Finden Sie die richtige TeamViewer Lizenz, die den Anforderungen Ihrer Organisation entspricht.www.teamviewer.com
Anydesk ndio best , zingine ni Teamviewer na Quick AssistMsaada ,ninahitaji kufanya kazi za wateja nikiwa mbali kutoka kwenye computer zao.
Nahitaji remote desktop software nafuu au cracked.
Nawasilisha
Hili ni swali au maelezo?Zote hizi ni free
Maelezo ingekuwa swali kungekuwa na ?Hili ni swali au maelezo?
Ukiitumia mfululizo inakuwa inakata kila baada ya dakika 5 na kuruhusu connection nyingine baada ya kula dakika 2ipo teamviewer free version