msaada; Result Slip lini?

msaada; Result Slip lini?

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
habari
wana JF pengine kuna mtu mwenye taarifa kuhusu lini Result slip zitatoka hususani za Form 4.
Kama utakuwa unafahamu tujuze
Heshima Kwenu
 
habari
wana JF pengine kuna mtu mwenye taarifa kuhusu lini Result slip zitatoka hususani za Form 4.
Kama utakuwa unafahamu tujuze
Heshima Kwenu

Zinatoka tarehe 15 mwezi huu,mm nilienda kuifata yangu pale baraza wakakataa na kusema tarehe 15 zitakuwa zimefika mashuleni.
 
Division 0 hawapati result slip au unamchykulia mwenzako?

unaonekana ni mtu mzima lakini akili za Kitoto kweli alisema ana 0 ni nani?
Mpaka nafikia kuuliza Kuhusu result slip unafikiri sijui kama una zero huwezi pata slip jihesimu kuandika hivyo sio kwamba utaonekana mjanja
Mbulula tu in ur Head you look like there is a Soil Water!!
 
Zinatoka tarehe 15 mwezi huu,mm nilienda kuifata yangu pale baraza wakakataa na kusema tarehe 15 zitakuwa zimefika mashuleni.

Nimekusoma Mkuu Rejonta Ngoja nisikilizie basi tarehe hizo!
 
Back
Top Bottom