habari
wana JF pengine kuna mtu mwenye taarifa kuhusu lini Result slip zitatoka hususani za Form 4.
Kama utakuwa unafahamu tujuze
Heshima Kwenu
Division 0 hawapati result slip au unamchykulia mwenzako?
Nimekusoma Mkuu Rejonta Ngoja nisikilizie basi tarehe hizo!
wat abt POSTS?
wat abt POSTS?
this is from TRUSTED SOURCE it may be out within this week before 14 trust me
this is from TRUSTED SOURCE it may be out within this week before 14 trust me
What will be ready within this week..
wat abt POSTS?
Zinatoka tarehe 15 mwezi huu,mm nilienda kuifata yangu pale baraza wakakataa na kusema tarehe 15 zitakuwa zimefika mashuleni.