Kwa wanaojua kuhusiana na riba za mikopo benki naomba ufafanuz kama ni siri ya mabenk au sio sir inawezekan ikawekwa public kila raia awe anajua kuhusiana na riba ya mikopo ya benki..
Riba za benki ni public information isipokuwa pale zitakapokuwa attached kwenye mkopo.
Benki kuu imekuja na ulazima wa mabenki ku-publish charge mbali mbali mojawapo no hizo riba za mikopo. Huwa kuna publications za kila robo mwaka kwenye magazeti; kuanzia robo ya pili ya mwaka huu ni lazima machapisho hayo yaambatane na mahesabu, tozo na ada mbali mbali za benki husika na faini ambazo benki imetozwa na benki kuu katika robo mwaka iliyopita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.