Msaada: Riba za mkopo kwenye mabenk ni siri au inawezekana kuwa public?

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Kwa wanaojua kuhusiana na riba za mikopo benki naomba ufafanuz kama ni siri ya mabenk au sio sir inawezekan ikawekwa public kila raia awe anajua kuhusiana na riba ya mikopo ya benki..
 
Mkuu;

Riba za benki ni public information isipokuwa pale zitakapokuwa attached kwenye mkopo.
Benki kuu imekuja na ulazima wa mabenki ku-publish charge mbali mbali mojawapo no hizo riba za mikopo. Huwa kuna publications za kila robo mwaka kwenye magazeti; kuanzia robo ya pili ya mwaka huu ni lazima machapisho hayo yaambatane na mahesabu, tozo na ada mbali mbali za benki husika na faini ambazo benki imetozwa na benki kuu katika robo mwaka iliyopita
 
Thanks mkuu kwa maelezo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…